Wednesday, April 2, 2014

ZIARA YA KIMAFUNZO YA WANAFUNZI WA SETCO KATIKA LODGE YA SASAKWA.

Safari ikianzia Chuoni tayari kuelekea Natta

Mwl. P.N Joel akiongoza baadhi ya wanafunzi wa setco kuingia katika lango la kuingilia Grumeti Reserves, Ofisi za Makundusi kabla ya kwenda Sasakwa Lodge. Walionekana hivyo katika picha.

Wakielekea sasakwa Lodge wakiwa katika Gari la wazi. kama walivyoonekana.

Wilson Chacha kushoto mwenye sare ya kaki akiwelezea jambo wanafunzi wa setco mara baada ya kupokelewa katika Lodge ya Sasakwa. Wilson ni Muhitimu wa SETCO ambae kwa sasa ni meneja msaidizi idara ya Housekeeping katika lodge ya Sasakwa inayomilikiwa na kampuni ya Grumeti (VIP)

Vijana wanakaribishwa na Juice baridi. (Ukarimu uliotukuka)

Wilson Chacha akiwambia vijana nifateni hivi. kama walionekana.