Thursday, December 17, 2015

9 DEC YASAIDIA KUHAMISHA JALALA SUGU MUGUMU LILILOKUWEPO MAENEO YA NATIONAL







MHE. JUMA PORINI AFANYA HAFLA YA KUSHUKURU WANANCHI WA KATA YA NATA.

Mnamo tarehe 13/12/2015 siku ya Jumapili, Mhe. Juma Porini Keya Diwani wa kata ya Natta ambae pia ni Mwenyekiti mpya wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti kupitia Chadema, alifanya sherehe nyumbani kwake kijijini Nyakitono kwa lengo la kuwashukuru wananchi na wakazi wa kata ya Natta kwa kumchagua kuwa Diwani wao na kumfanya pia kupata ushindi wa kiti cha Halmashauri ya wilaya.

Fatilia matukio katika picha hapo chini:-
Jamaa akipambana na mfupa,. Iriguha.

Mda wa msosi kila mtu kwa staili yake

Wageni wakiwasili nyumbani kwa mhe. Juma Porini

Harakati za ujenzi wa Hema kwa ajili ya wageni wote walikwa.

Manawa M/Kiti wa chadema Wilaya ya serengeti, Mbunge mwl Marwa Roba, Juma Porini na RB Nyaite . kama walivyokutwa na kamera yetu.

Karibuni wageni wote



Picha za pamoja wakati wa kumaliza sherehe.