| Maelezo yakitolewa katika banda la chuo cha Utalii cha Serengeti -SETCO |
| Muonekano wa mabanda upande wa kusini mwa uwanja wa Sokoine. |
| Timu ya wafanya tadhiminni ikipata maelezo toka kwenye banda la Solar Planet ya Serengeti |
| Timu ya tadhimini ikiwa katika banda la Halimashauri ya manispaa ya Musoma. |
| Ndani ya Banda la Wizara ya Maji, zinaonekana mashine mbalimbali zinazotumika katika utafiti wa maji na uchimbaji wa visima...... |
| Banda la H/M ya (W) Serengeti kama linavyoonekana, waliondani na mafaili ni timu ya wafanya tadhimini wakipokea maelezo toka kwa washiriki waliokuwepo bandani. |
| Banda la H/M ya (W) Tarime, wakionyesha kilimo cha kisasa cha migomba na kahawa na vitu mbalimbali vinavyoendana na Uhifadhi wa mazingira. |
| Mkurugenzi wa Kampuni ya Viofrank (Frank) mwenye T-shirt ya mistari akitoa akifafanua jambo mbele ya timu ya wafanya tadhimini walipowasili katika banda la kampuni hiyo |
| Banda la chuo cha utalii Serengeti SETCO, |
| Banda la wizara ya Maji (Bodi ya Maji katika bonde la Mto Mara) nao walikuwa washiki katika maonyesho kama Tasisi ya Serekali upande wa Tanzania. |
| H/M (W) Serengeti, Afisa wanyamapori mwenye maji ya chupa na maofisa wengine wa H/m hii wakiwa mbele ya banda lao. |
| Mkuu wa mmkoa wa Mara Mr.Tupa akiwa katika Banda la SENAPA, |
| Watu wakipata maelezo katika banada la kampuni ya Utalii ya Viofrank Tours ya Mugumu/Serengeti |
| Watu wakipata maelezo mbalimbali toka kwa watalamu kwenye Banda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti -SENAPA, lililokuwa limesheni mengi. |
| Mfano wa mto mara na jinsi wanyama aina ya Nyumbu na wale wanaofuatana wakivuka mto mara toka Tanzania kwenda Masai Mara game reserve ya Kenya, Model hii ilitengenezwa na H/M ya (W) ya Serengeti. |
| Eneo la Jukwaa kuu. jukwaa hili huwa lipo katika uwanja wa Sokoine mjini Mugumu. |
| Maandamano yakingia katika viwanja vya Sokoine ambapo yalipokelewa na waziri mkuu Mhe. Mizengo Pinda. |
No comments:
Post a Comment