| Picha ya pamoja Wakuu wa Vyuo toka kanda mbalimbali za Tanzania walioshiriki mafunzo ya Uongozi, pamoja na wakufunzi toka chuo cha Walimu VETA Morogoro |
| Nikipokea Cheti cha kuhitimu mafunzo toka kwa Mkuu wa Chuo cha walimu VETA -Morogoro |
| Wakuu wa Vyuo toka kanda mbalimbali za tanzania |
| Eneo la chuo cha walimu wa VETA -Morogoro |
| Katikati ni Mkuu wa chuo cha walimu MVTTC, Ndg. ..........)kushoto kwake ni mkuu wa Taaluma na mafunzo wa MVTTC Ndg. Maro na kulia ni Mama Mweta ambae ni M/kiti wa wanasemina |
No comments:
Post a Comment